Nairobi, KenyaIkiwa na wachezaji 10 uwanjani, timu ya taifa ya Kenya, imelazimisha sare ya bao 1-1 na Angola katika mechi ya fainali za Kombe la ...
Kimataifa
Los Angeles, MarekaniKlabu ya soka ya Los Angeles (LAFC) ya Marekani imetangaza kukamilisha usajili wa mchezaji mkongwe wa Tottenham Hotspur na t...
Na mwandishi wetuBao pekee la Shomari Kapombe limeiwezesha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kutoka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mauritann...
London, EnglandKiungo wa zamani wa Arsenal, Thomas Partey amepewa dhamana yenye masharti baada ya kukata rufaa katika kesi ya kubaka na kudhalili...
Seoul, Korea KusiniNyota ya mshambuliaji Marcus Rashford imeanza kung'ara katika klabu ya Barcelona baada ya kufunga bao lake la kwanza katika us...
Na mwandishi wetuNahodha wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Mbwana Samatta amejiunga na timu ya Le Havre inayoshiriki Ligi Kuu Ufaransa m...
Barcelona, HispaniaMshambuliaji wa Man United aliyeuzwa kwa mkopo Barcelona, Marcus Rashford amesema anaamini timu hiyo itatafuta pesa za kukamil...
Nairobi, KenyaGavana wa zamani wa Nairobi, Mike Sonko ameahidi kutoa Sh 400 milioni za Kenya kwa wachezaji wa timu ya taifa ya Kenya 'Harambee St...
Seoul, Korea KusiniNahodha wa klabu ya Tottenham Hotspur, Son Heung-min (pichani) amesema ataachana na timu hiyo akiwa ameweka rekodi ya kuicheze...
Na mwandishi wetuTimu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', imeanza na mguu mzuri fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN...