Paris, UfaransaMshambuliaji wa klabu ya PSG na timu ya Taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe amesema kwamba ana sifa zote za kuwa mmoja wa wateule wa ...
Kimataifa
Nyon, SwitzerlandRais wa Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa), Aleksander Ceferin (pichani) ameishauri Saudi Arabia kuwekeza katika akademi, makocha n...
Na waandishi wetuTaifa Stars leo Jumapili imeichapa Niger bao 1-0 katika mechi ya Kundi F ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika...
Paris, UfaransaStraika wa PSG, Kylian Mbappé amesema kwamba Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron hana ushawishi wowote katika maamuzi yake kuhusu ti...
Madrid, HispaniaKiungo mpya wa Real Madrid, Jude Bellingham amesema kwamba angependa kuona mshambuliaji wa PSG, Kylian Mbappe akiungana naye kati...
Manchester, EnglandKlabu ya Manchester United imeamua kuachana na mpango wa kumsajili mshambuliaji wa Tottenham Hotspur na timu ya Taifa ya Engla...
Paris, UfaransaMshambuliaji wa PSG, Kylian Mbappe ameeleza kuchukizwa kwake kwa jinsi aliyekuwa mshambuliaji mwenzake wa timu hiyo, Lionel Messi ...
Madrid, HispaniaReal Madrid hatimaye imekamilisha usajili wa kiungo wa England, Jude Bellingham kutoka klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani kw...
Kylian Mbappe Paris, UfaransaKlabu ya PSG ya Ufaransa inajiandaa kumpiga bei mshambuliaji wake, Kylian Mbappe katika kipindi hiki cha majira ya k...
Milan, ItaliaMmiliki wa zamani wa klabu ya AC Milan ambaye pia amewahi kuwa Waziri Mkuu wa Italia, Silvio Berlusconi amefariki dunia leo Jumatatu...