London, England.Winga wa Arsenal, Bukayo Saka wakati wowote kuanzia sasa anatarajia kusaini mkataba mpya na klabu hiyo inayoshika usukani kwenye ...
Category: Kimataifa
Na mwandishi wetuKikosi cha Simba, kimeondoka Alhamisi hii jioni kuelekea Uganda kwa mchezo wao wa tatu wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afri...
Leipzig, UjerumaniKocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kwamba aliwakusanya wachezaji wake uwanjani baada ya sare ya bao 1-1 na RB Leip...
Barcelona, HispaniaBaada ya habari za Lionel Messi kutaka kurejea Barcelona kuibuka kwa mara nyingine, kocha wa timu hiyo, Xavi Hernandez amesema...
Manchester, EnglandMan United leo Alhamisi inaumana na Barca katika mechi ya Europa Ligi, mechi ambayo kocha wa timu hiyo, Eric ten Hag amesema i...
Barcelona, HispaniaMchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil na klabu ya Barcelona, Dani Alves ataendelea kusota rumande baada ya jaji kumnyi...
Liverpool, EnglandUshindi wa mabao 5-2 walioupata Real Madrid mbele ya Liverpool Jumanne usiku umewapa matumaini mapya na sasa wanadai kulitaka t...
Paris, UfaransaKlabu ya Paris Saint Germain (PSG) ya Ufaransa inadaiwa kuwa mbioni kumrudisha kocha wake wa zamani, Thomas Tuchel ili kurithi mik...
Liverpool, EnglandMmiliki wa klabu ya Liverpool, John Henry amesema kwa sasa hawana mpango wa kuiuza klabu hiyo licha ya hapo kabla kunukuliwa ak...
London, EnglandKlabu ya Tottenham Hotspur imeyataka makampuni ya mitandao ya kijamii kuchukua hatua baada ya mchezaji wao, Son Heung-min kushambu...