Munich, UjerumaniHofu ya mechi dhidi ya Man City inamtesa kocha wa Bayern Munich, Thomas Tuchel ambaye amekiri mechi hiyo ya robo fainali ya Ligi...
Category: Kimataifa
Manchester, EnglandKocha wa Man United, Eric ten Hag amesema mambo si mazuri kwa straika wake, Marcus Rashford ingawa amefurahia kiwango cha beki...
London, EnglandKocha wa muda wa Chelsea Frank Lampard amesema hatarajii kumaliza matatizo ya timu hiyo kwa siku moja baada ya kufungwa bao 1-0 na...
London, EnglandKocha wa Burnley, Vincent Kompany (pichani) amesema timu hiyo haiogopi kitu kwenye Ligi Kuu England (EPL) baada ya kufuzu kucheza ...
Davos, SwitzerlandMabingwa wa soka duniani Argentina wameshika usukani kwa mujibu wa viwango vya ubora vya Fifa vilivyotolewa jana Alhamisi ikiwa...
Milan, ItaliaKlabu ya Juventus imepewa adhabu kwa mashabiki wake kutoruhusiwa uwanjani katika mechi ya Kombe la Italia baada ya kumtolea maneno y...
London, EnglandChelsea inadaiwa kuanza mazungumzo na kocha wake wa zamani, Jose Mourinho ili arejee katika klabu hiyo na kurithi mikoba ya Graham...
London, EnglandStraika wa Fulham, Aleksandar Mitrovic amefungiwa mechi nane kwa kosa la kumsukuma mwamuzi Chris Kavanagh katika mechi ya Kombe la...
Riyadh, Saudi ArabiaMshambuliaji wa Paris Saint Germain (PSG), Lionel Messi anatarajia kuhamia Saudi Arabia na kujiunga na klabu ya Al Hilal amba...
Milan, ItaliaMshambuliaji wa Inter Milan, Romelu Lukaku ametaka mabosi wa Serie A wachukue hatua baada ya kufanyiwa vitendo vya dhihaka za ubaguz...