London, EnglandMwenyekiti wa klabu ya Tottenham Hotspur, Daniel Levy amesema katika mkataba wa mshambuliaji wa Bayern Munich, Harry Kane kuna kip...
Kimataifa
Na mwandishi wetuBeki Novatus Dismas Miroshi amekuwa mchezaji wa pili wa Tanzania kucheza michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya Mbwana Sama...
Madrid, HispaniaMshambuliaji wa timu ya taifa ya Hispania aliyepigwa busu mdomoni, Jenni Hermoso hayumo kwenye kikosi cha timu hiyo kilichotajwa ...
Paris, UfaransaMshambuliaji wa PSG, Kylian Mbappe ameuanza vizuri msimu mpya wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kufunga bao wakati timu yake ikiilaza ...
Manchester, EnglandKocha wa Man City, Pep Guardiola amesema timu yake inakabiliwa na janga la wachezaji wengi majeruhi hali ambayo inaweza kuathi...
Na mwandishi wetuMwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama amekerwa na matokeo ya sare ya mabao 2-2 ambayo Simba iliyapata mbele ya Power Dynamos ya ...
Na mwandishi wetuStraika mpya wa Singida Fountain Gate, Elvis Rupia ameanza vyema kuiwakilisha timu hiyo kwenye Kombe la Shirikisho Afrika baada ...
Na mwandishi wetuBaada ya Yanga na Simba kucheza mechi zao za Ligi ya Mabingwa Afrika jana Jumamosi, leo Jumapili ni zamu ya Singida Fountain Gat...
Na mwandishi wetuYanga na Simba leo Jumamosi zimetupa karata zao za kwanza katika mechi za kwanza za raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika,...
Manchester, EnglandWinga wa Man United, Jadon Sancho ametakiwa kumuomba radhi kocha wake, Erik ten Hag baada ya kutofautiana naye hivi karibuni v...