Nasreddine Nabi Na mwandishi wetuAliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi ameeleza huzuni yake kuondoka katika klabu hiyo, akisema hakufany...
Latest posts
Paris, UfaransaStraika wa PSG, Kylian Mbappé amesema kwamba Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron hana ushawishi wowote katika maamuzi yake kuhusu ti...
Hashim Ibwe Na mwandishi wetuSiku moja baada ya kuachana na kocha Kally Ongalla, uongozi wa Azam FC umeeleza kuwa upo kwenye mikakati kabambe kui...
Na mwandishi wetuBaadhi ya wachezaji wa Simba wanahesabu siku ili kujua hatma yao iwapo watasalia kwenye timu hiyo au watatemwa na kimsingi wameb...
Na Hassan KinguMsimu wa soka 2022-23 umemalizika rasmi Jumatatu iliyopita, ukihitimishwa kwa mechi ya fainali ya Kombe la FA (ASFC) kwa Yanga kui...
Madrid, HispaniaKiungo mpya wa Real Madrid, Jude Bellingham amesema kwamba angependa kuona mshambuliaji wa PSG, Kylian Mbappe akiungana naye kati...
Na mwandishi wetuTimu ya Azam FC imetangaza kuachana na kocha msaidizi wa timu hiyo, Kali Ongala baada ya kudumu katika kikosi hicho kwa msimu mm...
Manchester, EnglandKlabu ya Manchester United imeamua kuachana na mpango wa kumsajili mshambuliaji wa Tottenham Hotspur na timu ya Taifa ya Engla...
Paris, UfaransaMshambuliaji wa PSG, Kylian Mbappe ameeleza kuchukizwa kwake kwa jinsi aliyekuwa mshambuliaji mwenzake wa timu hiyo, Lionel Messi ...
Na mwandishi wetuKocha Nasreddine Nabi hatimaye ameamua kuachana na klabu ya Yanga huku kukiwa na habari kwamba anaenda kujiunga na klabu ya Kaiz...