Manchester, EnglandLigi Kuu England (EPL) msimu wa 2023-34 umefikia tamati leo Jumapili kwa Man City kubeba taji ililokuwa ikilipigania na Arsena...
Na mwandishi wetu, ArushaHatimaye Yanga imefuzu kucheza fainali ya Kombe la Shirikisho CRDB baada ya kuilaza Ihefu FC bao 1-0 katika mechi iliyop...
Na mwandishi wetuMakocha Charles Boniface Mkwasa (pichani) na Abdallah Kibadeni wamefurahishwa na kulipongeza Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mas...
Manchester, EnglandKiungo wa Man City, Phil Foden ametangazwa kuwa mchezaji bora wa msimu wa Ligi Kuu England (EPL) ikiwa ni siku moja kabla ya t...
Na mwandishi wetuKaimu kocha mkuu wa timu hiyo, Juma Mgunda amesema wakijipanga sawasawa wataondoka na pointi zote tisa katika mechi tatu zilizob...
London, EnglandKocha wa Arsenal, Mikel Arteta amesema ndoto zake za kubeba taji la Ligi Kuu England (EPL) kesho Jumapili zipo hai wakati huu akij...
Na mwandishi wetuKocha mkuu wa Ihefu FC, Mecky Maxime amesema anatambua wapinzani wao katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho CRDB, Y...
Munich, UjerumaniKocha wa Bayern Munich, Thomas Tuchel amethibitisha kuwa ataachana na timu hiyo mara baada ya msimu huu licha ya kuwapo mazungum...
Na mwandishi wetuKocha wa timu ya taifa, Taifa Stars, Hemed Morocco amesema anaamini kikosi chake kitacheza kwa mabadiliko makubwa kuelekea mechi...
Barcelona, HispaniaMpango wa Barcelona 'Barca' kumbakisha kocha Xavi baada ya msimu huu unaonekana kugonga mwamba kutokana na kauli ya kocha huyo...