Na Hassan KinguMoja ya mambo ambayo Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba aliyazungumza bungeni wakati akiwasili...
Munich, UjerumaniFainali za Kombe la Ulaya 2024 au Euro 2024 zinaanza leo Ijumaa kwenye dimba la Allianz Arena mjini Munich, Ujerumani, swali ni ...
Na mwandishi wetuMshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Waziri Junior amelitoa bao lake pekee alilofunga jana Jumanne dhidi ya Z...
New York, MarekaniNahodha wa timu ya taifa ya Argentina na mshambuliaji wa Inter Miami FC ya Marekani, Lionel Messi, 36, amesema huenda Inter Mia...
Na mwandishi wetuMeneja habari na mawasiliano Azam FC, Thabiti Zakaria amesema kuwa timu hiyo haitaweza kushiriki michuano ya Kombe la Kagame kut...
Na mwandishi wetuHatimaye mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo Dewji' ameibuka na kueleza kukubali kuwa mwenyekiti mpya wa muda wa bod...
Manchester, EnglandUtata kuhusu hatma ya kocha Erik Ten Hag wa Man United umekwisha na habari mpya ni kwamba baada ya kufanya tathmini kwa mapana...
Ndola, ZambiaTimu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeibuka shujaa ugenini baada ya kuigonga Zambia maarufu Chipolopolo kwa bao 1-0 katika mechi...
London, EnglandKocha wa timu ya taifa ya England, Gareth Southgate amesema kwamba fainali za Kombe la Ulaya au Euro 2024 huenda ikawa nafasi ya m...
Na mwandishi wetuShirikisho la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), limetangaza rasmi michuano ya Kombe la Kagame 2024 itafanyika Ta...