Paris, UfaransaUshindi wa jumla wa mabao 6-5 ambao Real Madrid imeupata dhidi ya Man City umewashtua na kuwashangaza kama si kuwaduwaza wengi. Mm...
Author: Green Sports
Madrid HispaniaKarim Benzema, jana usiku alidhihirisha umahiri wake alipoisaidia Real Madrid kufuzu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya us...
Na mwandishi wetuBeki wa Azam, Bruce Kangwa ameeleza namna walivyosikitishwa na matokeoya kufungwa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar jana licha ya ku...
na mwandishi wetuBondia namba moja Afrika kwa uzito wa Super Welter, Hassan Mwakinyo‘Champez’ amekutana na bingwa wa dunia wa madaraja matatu ya ...
Madrid, HispaniaUnamzungumziaje kocha aliyewahi kuzinoa klabu za Juventus na AC Milan za Italia, kocha huyo huyo amezinoa Paris Saint-Germain ya ...
Na mwandishi wetuWakati zikiwa zimesalia takriban mechi tisa kumalizika kwa Ligi Kuu yaNBC, tayari mwenyekiti wa zamani wa Simba, Ismail Aden Rag...
Na mwandishi wetuBaada ya Simba kuambulia sare ya mabao 2-2 dhidi ya Namungo, beki watimu hiyo, Shomari Kapombe amekiri kuwa presha ni kubwa kwao...
Madrid, HispaniaMwite kwa jina la wakala lakini Mino Raiola hana tofauti na dalali au mtu wa kati anayekutafutia chumba au nyumba Sinza jijini Da...
Na mwandishi wetuMechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu baina ya mahasimu Yanga na Simbaimemalizika jana pale Uwanja wa Mkapa, Temeke, Dar es Salaa...
na mwandishi wetuDar Derby au Kariakoo Derby, mechi ya mahasimu wa soka, Simba na Yanga kwa sasa ni mechi kubwa si Tanzania tu bali hata nje ya m...