Paris, UfaransaDalili za msimu wa neema zimeanza kujionyesha kwa mshambuliaji wa PSG, Neymar ambaye amefunga mabao mawili Jumapili hii wakati tim...
London, England,Mpango wa Man United kumsajili nyota wa Barcelona, Frenkie de Jong umeanza kuwa mgumu baada ya Chelsea nayo kudaiwa kuingia katik...
Na mwandishi wetuMtibwa Sugar ambayo imenusurika kushuka daraja, imeanza harakati za kujiimarisha kwa msimu wa 2022/23 kwa kutangaza kumsajili be...
Na Hassan KinguKlabu ya Yanga imeingia kwenye awamu nyingine ya uongozi wa Rais Hersi Said lakini imejikuta ikimpoteza Ofisa Mtendaji Mkuu wake, ...
London, EnglandTimu ya Taifa ya wanawake ya England, Lionesses, jana usiku ilitwaa Kombe la Ulaya (Euro 2022) baada ya kuilaza Ujerumani mabao 2-...
Manchester, EnglandManchester United Jumapili usiku imetoka sare ya bao 1-1 katika mechi ya kirafiki dhidi ya Rayo Vallecano, mechi ambayo Cristi...
London, EnglandBaada ya Liverpool kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Man City katika mechi ya Ngao ya Jamii Jumamosi hii, kocha wa Jurgen K...
Manchester, EnglandKatika mkakati wa kuiimarisha safu yake ya ushambuliaji, kocha wa Man United, Erik ten Hag amemteua mshambuliaji wa zamani wa ...
Na Hassan KinguDesemba 2012 kwenye michuano ya Cecafa, Kilimanjaro Stars ikiwa chini ya kocha Kim Poulsen iliibugiza Somalia mabao 7-0. Jumamosi ...
Birmingham, EnglandNyota ya mwanariadha wa Tanzania, Felix Simbu leo mchana imeng'ara katika Michezo ya Jumuiya ya Madola inayoendelea katika jij...