London, EnglandKocha wa Chelsea, Thomas Tuchel anachunguzwa na FA kwa kauli aliyoitoa dhidi ya mwamuzi Anthony Taylor aliyechezesha mechi ya Chel...
Na Hassan KinguHaji Manara akiwa anatumikia adhabu ya kufungiwa miaka miwili kutojihusisha na masuala ya soka, ameacha maswali yanayoonekana kuwa...
London, EnglandManchester United imelala kwa mabao 4-0 mbele ya Brentford Jumamosi hii, hicho kikiwa kipigo cha pili katika mechi ya pili ya Ligi...
Na mwandishi wetuYanga imemaliza ubishi baada ya kuifumua Simba au Mnyama mabao 2-1 na kutwaa ndoo ya Ngao ya Jamii (Community Shield) kwa msimu ...
London, EnglandNyota wa zamani wa Arsenal, Martin Keown amesema anashindwa kumuelewa kocha Mikel Arteta kwa kitendo chake cha kukubali kumuondoka...
Manchester, EnglandKocha wa Manchester United, Erik ten Hag amesema kwamba anaamini mchezaji wake, Cristiano Ronaldo anataka kubaki katika klabu ...
Paris, UfaransaKwa mara ya kwanza mchezaji nyota, Lionel Messi ameachwa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania tuzo ya Ballon d'Or ikiwa ni mara yake ...
Na mwandishi wetuShirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemtangaza Heri Sasii kuwa mwamuzi wa mechi ya Ngao ya Jamii inayosubiriwa kwa hamu baina ya...
Na mwandishi wetuBenchi la ufundi la Mtibwa Sugar limeeleza kufurahishwa na usajili wa kiungo mkabaji, James Kotei aliyetua kwa mkopo wa mwaka mm...
Na mwandishi wetuKlabu ya soka ya Azam imetangaza kuwa kuelekea tamasha lao la Jumapili hii llilopewa jina la Azamka litapambwa na mwanamuziki ma...