Na mwandishi wetuKlabu ya soka ya Yanga rasmi leo imetangaza kuachana na aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Hassan B...
Manchester, EnglandKlabu ya soka ya Manchester United imetoa onyo kwa klabu ya Paris Saint-German (PSG) ya Ufaransa ambayo inadaiwa kumnyatia, Ma...
Rabat, MoroccoShirikisho la Soka Morocco (FRMF) limetangaza kuachana na kocha wa timu ya Taifa, Vahid Halilhodzic ikiwa ni miezi mitatu kabla ya ...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Geita Gold, Fred Minziro ameeleza hofu aliyonayo juu ya kuchelewa kuongeza mkataba mpya kuinoa timu hiyo namna ina...
Na mwandishi wetuAliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Senzo Mazingiza ameeleza kuwa hana mpango wa kuendelea kufanya kazi kwenye timu za Tanzania hu...
Na mwandishi wetuMshambuliaji wa Yanga, Heritier Makambo amesema yupo tayari kwa mapambano ya kuwania nafasi ya kucheza bila kujali upinzani ulio...
Manchester, EnglandChris Daw, wakili wa mwanasoka wa zamani wa Man Utd, Ryan Giggs ameiambia Mahakama ya Manchester kuwa madai ya mpenzi wa zaman...
Na mwandishi wetuShirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kusimamisha matumizi ya viwanja vitano vya soka ambavyo vilitarajiwa kutumika kwa ...
Helsinki, FinlandUsiku wa Jumatano umekuwa mzuri kwa Real Madrid baada ya kubeba taji la Uefa Super Cup ikiichapa Eintracht Frankfurt mabao 2-0 k...
Manchester, EnglandBeki wa klabu ya Manchester City aliyesimamishwa, Benjamin Mendy amekana tuhuma nyingine za ubakaji zinazomkabili katika mahak...