Tunis, TunisiaYanga leo Jumapili imeanza na mguu mbaya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuchapwa mabao 2-0 na US Monastir ...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema timu yake bado ina nafasi kubwa ya kutinga robo fainali ya Ligi ya Ma...
Na mwandishi wetuTimu ya Ihefu FC imemtambulisha kocha mkongwe, John Simkoko kuwa kocha wake mkuu baada ya kumsainisha mkataba wa miezi sita kuan...
Rabat, MoroccoReal Madrid jana Jumamosi ilibeba taji la klabu la dunia la mwaka 2022 baada ya kuinyuka Al-Hilal ya Saudi Arabia mabao 5-3 na kuwe...
Na mwandishi wetuWawakilishi wa Taanzania, Simba wameanza vibaya mechi za hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kulala kwa bao 1-0...
Na mwandishi wetuKiungo mshambuliaji wa Simba, Saido Ntibazonkiza amesema ana imani timu yake itaanza vizuri mechi za hatua ya makundi ya Ligi ya...
Barcelona, HispaniaRais wa klabu ya Barcelona, Joan Laporta amethibitisha kuwa mtoto wa nyota wa zamani wa timu hiyo, Ronaldinho au Gaucho aitway...
Na mwandishi wetuMshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Mayele amesema mazoezi magumu wanayoyafanya tangu wafike nchini Tunisia yatawasaidia kufany...
Na mwandishi wetuWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezitakia heri timu za Simba na Yanga kwenda kuwakilisha vyema katika mashindanoo ya Ligi ya Mabin...
Saudi ArabiaCristiano Ronaldo jana Alhamisi aliifungia Al Nassr mabao manne katika mechi ya ligi dhidi ya Al Wehda, hapo hapo akaweka rekodi ya k...