Munich, UjerumaniMshambuliaji wa Bayern, Munich, Harry Kane amesema kwamba msimu huu unaweza kuwa ni msimu waliofeli kama hawatabeba taji la Ligi...
Na mwandishi wetuShirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka wazi droo ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la CRDB kwa timu nane pe...
Madrid, HispaniaKiungo wa Real Madrid, Jude Bellingham amesema Vinícius Júnior na wachezaji wengine wenye asili ya Afrika wanahitaji kuungwa mkon...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Mashujaa, Abdallah Mohamed 'Baresi' amekiri kuwa hali waliyonayo kwenye Ligi Kuu NBC ni ngumu lakini watahakikisha...
Barcelona, HispaniaKocha wa Barca, Xavi Hernández amemlalamikia mwamuzi kwa kumpa kadi nyekundu mchezaji wake, Ronald Araújo kuwa ndiyo sababu il...
Na mwandishi wetuTimu ya Simba imeelekea Zanzibar Jumanne hii kwa ajili ya kambi ya siku chache kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Yanga utakaopigw...
Paris, UfaransaKocha wa PSG, Luis Enrique amesema anaamini timu yake inaweza kupindua meza na kuibuka na ushindi katika mechi ya robo fainali ya ...
Na mwandishi wetuKocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema hana presha kuelekea mechi hiyo na Simba maarufu Kariakoo au Dar Derby kwa kuwa anakwenda...
Abu Dhabi, UAEShirikisho la Soka Saudi Arabia (SAFF) litapitia upya sheria zinazowahusu mashabiki wa soka baada ya tukio la shabiki mmoja kumchap...
Na mwandishi wetuUongozi wa Singida Fountain Gate umefunguka kuwa unaendelea na uchunguzi kuhusu utata wa kutoroka kambini kwa kipa wao, Beno Kak...