Na mwandishi wetu, TangaSimba imefuzu fainali ya michuano ya Ngao ya Jamii kwa kuitoa Singida Fountain Gate kwa penalti 4-2 na sasa inasubiri kuu...
Category: Soka
Kiungo wa kati wa Yanga, Mudathir Yahya amesema upinzani mkubwa ulioibuka kati yake na Feisal Salum ‘Fei Toto’ wa Azam FC, ulitokana na maelekezo...
Na Hassan KinguMechi ya kwanza ya michuano ya Ngao ya Jamii imeisha kwa Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga n...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Coastal Union, Mwinyi Zahera amemtaka kiungo mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Ibrahim Ajibu (pichani) kuitumia nafa...
Na mwandishi wetu, TangaYanga imetinga fainali ya michuano ya Ngao ya Jamii kwa kuichapa Azam FC mabao 2-0 yaliyofungwa na Stephanie Aziz Ki na C...
Na mwandishi wetuYanga na Azam FC leo Jumatano zitaumana katika mechi ya Ngao ya Jamii zikiwa na falsafa za makocha wapya, Miguel Gamondi wa Yang...
Na mwandishi wetuNyota wa Dallas FC ya Marekani, Bernard Kamungo amesema yuko tayari kuitumikia timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars huku akion...
Na mwandishi wetuWizara ya Afya na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kupitia Mpango wa Taifa wa Damu Salama umetoa s...
Na mwandishi wetuPazia la Ligi Kuu NBC msimu wa 2023-24 litafungiliwa Agosti 16 kwa mabingwa watetezi Yanga kurusha karata ya kwanza Agosti 23 dh...
Na mwandishi wetuBeki wa kati wa Yanga, Gift Fred (pichani) amesema kuwa anasikia faraja kuvaa jezi ya timu hiyo msimu ujao na hiyo inamfanya kup...