Na mwandishi wetuMambo si mambo kwa Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kulala kwa bao 1-0 ugenini dhidi ya Silver Strikers ya Malawi, ...
Soka
Na mwansishi wetuTimu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeshindwa kuutumia vyema uwanja wa nyumbani baada ya kuchapwa bao 1-0 na Zambia katika ...
Florida, MarekaniKocha wa timu ya taifa ya Argentina, Lionel Scaloni amesema hatokuwa tayari kumpa nafasi mchezaji wake Lionel Messi au mchazaji ...
Na mwandishi wetuShirikisho la Soka Duniani (Fifa) limewateua Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Walace Karia na Rais wa Klabu ya Yanga, ...
Na mwansishi wetuKipa namba moja wa Yanga, Djigui Diarra amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Septemba baada ya kufanya vizuri kwenye michezo...
Na mwandishi wetuBeki Ibrahim Abdullah 'Ibra Bacca' wa Yanga amefungiwa mechi tano za Ligi Kuu NBC kwa kosa la kumchezea rafu Ibrahim Ame wa Mbey...
Na mwandishi wetuWakati mashabiki Simba wakisubiri kwa hamu kumjua kocha mpya wa timu hiyo, klabu hiyo imemtambulisha Dimitar Pantev kuwa meneja ...
Na mwandishi wetuSimba imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Namungo FC katika mechi ya Ligi Kuu NBC iliyochezwa Jumatano hii Oktoba Mosi, 20...
Na mwandishi wetuKocha wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Hemed Suleiman 'Morocco' ametangaza kikosi cha wachezaji 26 wa timu ya taifa k...
Na mwandishi wetuYanga imeanza kuona ugumu wa Ligi Kuu NBC baada ya kulazimishwa sare ya 0-0 na Mbeya City katika mechi iliyochezwa leo Jumanne, ...