Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Coastal Union, Yusuf Chippo amesema wameumia kupoteza mechi yao dhidi ya Dodoma Jiji na sasa wanarejea kujipanga k...
Category: Soka
Na Hassan KinguGumzo kubwa wiki hii ni Yanga kufungwa mara ya kwanza kwenye Ligi Kuu NBC baada ya mechi 49 mfululizo na kumaliza rasmi ubabe wa ‘...
Na mwandishi wetuBaada ya jana Jumanne kulala kwa mabao 2-1 dhidi ya Ihefu FC, kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi, amesema ugumu wa ratiba ya Ligi K...
Na mwandishi wetuTimu ya ya Azam imejinasibu kuwa kwenye kampeni kabambe kuhakikisha inashinda mechi zake 10 mfululizo zinazofuata za Ligi Kuu NB...
Na mwandishi wetuKocha wa Simba, Juma Mgunda amewataka wachezaji wake wasikate tamaa katika vita ya kuishusha Yanga kileleni kwenye msimamo wa Li...
Na mwandishi wetuYanga leo Jumanne katika mechi yake na Ihefu ilikuwa ikipiga hesabu za kufikisha mechi 50 bila kupoteza hata moja, kwa miaka ili...
Na mwandishi wetuSimba leo Jumapili imeibuka kidedea kwenye Uwanja wa Ushirika mjini Moshi baada ya kuichapa Polisi Tanzania mabao 3-1 wakati Aza...
Na mwandishi wetuFiston Mayele leo Jumamosi ameendelea kudhihirisha ubora wake katika kuzifumania nyavu baada ya kufunga mabao mawili wakati Yang...
Na mwandishi wetuKamati ya Uchaguzi ya klabu ya Simba imetangaza uchaguzi mkuu wa viongozi wa klabu hiyo ambao utafanyika Januari 29 mwakani.Taar...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Patrick Odhiambo, ameeleza kukerwa na matokeo ya kupoteza michezo mitatu mfululizo na sasa anare...