Na mwandishi wetuSimba imetua nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Azam (ASFC) baada ya kuitia adabu Ihefu FC kwa kuichapa mabao 5-1 huku straika ...
Category: Soka
Na Hassan KinguMichuano ya klabu Afrika ipo kwenye hatua ya robo fainali na timu za Tanzania zimefanikiwa kusonga kwenye hatua hiyo kati ya timu ...
Na mwandishi wetuBaada ya Simba na Yanga kuwafahamu wapinzani wao kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika, makocha wa t...
Cairo, MisriYanga itaanza kuisaka tiketi ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuivaa Rivers United ya Nigeria wakati Simba wataanza kui...
Na mwandishi wetuMshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele amesema kwa sasa wanajiandaa vilivyo kwa ajili ya mechi tatu alizotafsiri ni ngumu lakini w...
Na mwandishi wetuKiungo mshambuliaji wa Simba, Augustine Okrah amerejea kwenye maozezi ya kikosi hicho baada ya kukaa nje ya uwanja kwa takriban ...
Na mwandishi wetuKiungo wa Yanga, Mudathir Yahya leo Jumatano amefanikiwa kuibuka kidedea kwa kuwa mfungaji wa bao bora la michuano ya Kombe la S...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ ameanza kujiwinda na mechi dhidi ya mahasimu wao Yanga maarufu Dar Derby akis...
Na mwandishi wetuKiungo wa Yanga, Mudathir Yahya amepenya kwenye kinyang'anyiro cha kuwania mfungaji wa bao bora la michuano ya Kombe la Shirikis...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Polisi Tanzania, Mwinyi Zahera (pichani) amesema timu hiyo haishuki daraja na matumaini yao ya kuepuka kushuka dar...