Doha, QatarMshambuliaji wa England, Harry Kane anaandamwa na ukame wa mabao kwenye fainali za Kombe la Dunia wakati leo Jumapili timu yake inauma...
Category: Kimataifa
Sao Paulo, BrazilMwanasoka gwiji wa zamani wa Brazil, Pele aliyedaiwa kuwa mgonjwa, amewatoa hofu mashabiki akisema kwamba ana nguvu na matumaini...
Doha, QatarMessi jana Jumamosi aliweka rekodi ya kufunga bao katika mechi yake ya 1,000 ya soka la hadhi ya juu na mechi ya 100 tangu awe nahodha...
Doha, QatarBaada ya Ghana kushindwa kufuzu hatua ya mtoano kwenye fainali za Kombe la Dunia, kocha wa timu hiyo, Otto Addo ametangaza kung'atuka ...
Al-Rayyan, QatarKocha wa Ureno, Fernando Santos amesema kwamba mchezaji wake, Cristiano Ronaldo alikaripiwa na mchezaji wa Korea Kusini, Cho Gue-...
Lusail, QatarCameroon imeweka rekodi ya kibabe ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Brazil katika mechi ya Kundi G ya fainali za Kombe la Dunia licha y...
Doha, QatarKocha wa timu ya Taifa ya Morocco, Walid Regragui amesema timu yao ina malengo makubwa na inaruhusiwa kuwa na ndoto za kubeba taji la ...
Doha, QatarMshambuliaji wa Uruguay, Luis Suarez amesema hatoomba radhi kwa tukio la kuunawa mpira ambalo liliwanyima Ghana nafasi ya kufikia nusu...
Doha, QatarWajerumani hawaamini kilichowakuta Qatar, ushindi wa mabao 4-2 walioupata kwa Costa Rica haujawasaidia, wameaga mapema fainali za Komb...
Doha, QatarWinga na nahodha wa timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo amepata ofa ya kujiunga na klabu ya Al-Nassr ya Saudi Arabia kwa mkataba...