Na mwandishi wetuAzam FC imeeleza kuwa itaanza rasmi mawindo yake ya msimu ujao kuanzia Julai 6 kabla ya kupaa kwenda Morocco Julai 14, mwaka huu...
Na mwandishi wetuTimu ya Tanzania Prisons ya Mbeya imemtangaza Mbwana Makata kuwa kocha mkuu mpya wa timu hiyo na kurejea katika kikosi hicho kwa...
Munich, UjerumaniKocha wa timu ya taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps ana matumaini nahodha na mshambuliaji wa timu hiyo, Kylian Mbappe atakuwa u...
Na mwandishi wetuKlabu ya Simba imetangaza kuachana na beki wake wa kati, Henock Inonga Bacca baada ya kuitumikia timu hiyo kwa misimu mitatu mfu...
London, EnglandWashambuliaji wa zamani wa England, Gary Lineker na Alan Shearer wameshikilia msimamo wao wa kumshutumu mshambuliaji wa sasa wa ti...
Na mwandishi wetuRais wa Klabu ya Yanga, Hersi Said amempokea mgeni wake beki wa klabu ya PSG na timu ya Taifa ya Morocco, Achraf Hakimi leo Juma...
Munich, UjerumaniKocha wa Uholanzi, Ronald Koeman amesema mwamuzi alikosea kulikataa goli lao katika mechi dhidi ya Ufaransa kwenye fainali za so...
Na Hassan KinguSimba imeachana na kiungo wake, Saido Ntibazonkiza ambaye habari za kuachwa kwake zimewekwa wazi kwenye mitandao ya kijamii katika...
Lionel Messi mara baada ya kushinda Kombe la Dunia Atlanta, MarekaniUshindi wa mabao 2-0 ilioupata Argentina dhidi ya Canada kwenye Copa America ...
Na mwandishi wetuBeki wa kati, Lameck Lawi (pichani akiwa na Juma Mgunda) amekuwa mchezaji wa kwanza kutambulishwa na Simba SC kwenye usajili wa ...