Monaco, UfaransaReal Madrid itazianza kampeni za kulitetea taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya ugenini dhidi ya Liverpool katika mfumo mpya wa michuan...
Na mwandishi wetuWachezaji wawili wakongwe, Mbwana Samatta na Simon Msuva wameachwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kil...
London, EnglandNahodha wa zamani wa timu ya taifa ya England, David Beckham ametuma salamu za pole kufuatia kifo cha kocha wa zamani wa timu hiyo...
Na mwandishi wetuSimba leo Jumapili imeibugiza Fountain Gate mabao 4-0 katika mechi ya Ligi Kuu NBC iliyopigwa kwenye dimba la KMC Complex jijini...
Madrid, HispaniaKocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti amesema kitendo cha mshambuliaji wake mpya, Kylian Mbappe kushindwa kuzifumania nyavu katik...
Na mwandishi wetuYanga leo Jumamosi imeilaza Vital'O ya Burundi mabao 6-0 na kusonga mbele katika Ligi ya Mabingwa Afrika wakati Azam FC ikitupwa...
Madrid, HispaniaMshambuliaji wa Real Madrid, Vinícius Júnior atalazimika kusubiri hadi mwishoni ma msimu huu kabla ya kuamua kama atakwenda kuche...
Na mwandishi wetuRais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Walace Karia amempongeza Mwenyekiti wa Chama cha Soka Arusha (ARFA). Zakayo Mjema (pi...
Madrid, HispaniaKocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti amesema ratiba ngumu ya msimu huu inawafanya wafikirie kuwapa muda wa mapumziko mchezaji mm...
Na mwandishi wetuYanga imezianza fainali za Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kishindo baada ya kuibugiza Vital’O ya Burundi mabao 4-0, mechi iliyopigw...