Manchester, EnglandKocha wa Man City, Pep Guardiola amepuuza habari kwamba ana ugomvi na kiungo, Kevin de Bruyne badala yake amesema ana shauku k...
Na mwandishi wetuShirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa angalizo kwa mawakala wa soka nchini na kubainisha kuwa wanaotambulika ni wale tu weny...
Conakry, GuineaMashabiki 56 wa soka nchini Guinea wamefariki na wengine mamia kujeruhiwa baada ya vurugu kuibuka kwenye kwenye mechi chanzo kikiw...
Liverpool, EnglandMshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah amesema ushindi wa timu hiyo wa mabao 2-0 wa jana Jumamosi dhidi ya Man City ni mechi ...
Na mwandishi wetuAzam FC imeichapa Dodoma Jiji mabao 3-1 na kuchupa hadi kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu NBC baada ya kufikisha pointi 30 katika...
Madrid, HispaniaKocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti amemsifia mshambuliaji wake Kylian Mbappe akimtaja kuwa ni hatari baada ya kufunga bao kati...
Na mwandishi wetuYanga imeanza kurejea katika ubora wake na kuondokana na mikosi ya vipigo vitatu mfululizo baada ya kuichapa Namungo FC mabao 2-...
Munich, UjerumaniMshambuliaji wa Bayern Munich, Harry Kane huenda akaikosa mechi ya Jumanne hii ya Kombe la Ujerumani dhidi ya mabingwa watetezi ...
Manchester, EnglandKocha wa Man City, Pep Guardiola inaonekana amekata tamaa ya kubeba taji la Ligi Kuu England (EPL) msimu huu baada ya kudai kw...
Na Hassan KinguYanga hadi sasa hawajaamini kama wamefungwa bao 1-0 na Azam FC, hawajaamini na hawataki kukubali kwamba mbali na Azam pia wamefung...