Na mwandishi wetuTimu ya soka ya Tanzania Bara, 'Kilimanjaro Star's itatupa karata yake ya kwanza kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa kuuma...
London, EnglanedKocha wa zamani wa Chelsea na Bayern Munich, Thomas Tuchel, leo Januari Mosi, 2025 ameanza rasmi kazi yake mpya ya kuinoa timu ya...
Na mwandishi wetuAliyekuwa kocha mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ni miongoni mwa makocha waliowasilisha CV zao kuomba kazi ya kuinoa timu ya Raja C...
Na mwandishi wetuBurudani ya soka ya Ligi Kuu NBC itasimama kwa kipindi cha miezi miwili kuanzia Desemba 29 mwaka jana na kurejea Machi Mosi, 202...
Liverpool, EnglandMshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah amesema bado hajaamua lolote kuhusu mambo yake ya baadaye na klabu hiyo wakati huu aki...
Na mwandishi wetuKipa namba moja wa Yanga aliyekuwa majeruhi, Djigui Diara anatarajia kuwamo katika kikosi cha Yanga kitakachoumana na TP Mazembe...
Munich, UjerumaniKipa wa zamani wa Arsenal, Jens Lehmann anadaiwa yuko mbioni kuupiga bei mjengo wake wa kifahari baada ya kuwapo habari za kutib...
Na mwandishi wetuYanga imeendelea kutoa dozi kubwa katika Ligi Kuu NBC baada ya kuitandika Fountain Gate FC mabao 5-0 au mkono katika mechi iliyo...
Na Hassan KinguKama ambavyo mashabiki England wanalikumbuka bao la mkono alilowafunga Diego Maradona kwenye fainali za Kombe la Dunia 1986 ndivyo...
London, EnglandNyota wa Arsenal, Bukayo Saka amefanyiwa upasuaji baada ya kupata majeraha ya misuli na kwa mujibu wa kocha, Mikel Arteta huenda m...