Mayele (kushoto) akipambana na Joash Onyango katika mechi dhidi ya Simba iliyochezwa Aprili 30 mwaka huu na timu hizo kutoka sare ya bila kufunga...
Na mwandishi wetuKocha wa Mbeya Kwanza, Mbwana Makata amefungiwa kushiriki mchezo wa soka kwa kipindi cha miaka mitano kwa kosa la kushawishi wac...
Kaseba Na mwandishi wetuBondia Japhet Kaseba amesema kuwa hana mpango wa kuwashawishi watoto wake wacheze mchezo huo na wala hatamuunga mkono mto...
Na mwandishi wetuKLABU ya Simba imedai kuwa kabla ya kuzungumzia faini waliyopigwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwanza wanahitaji kusikia m...
Kylian Mbappe Paris, UfaransaMshambuliaji wa Paris Saint-Germain ya Ligi 1 Ufaransa, Kylian Mbappe anakaribia kutangaza wapi atakwenda msimu ujao...
London, EnglandBaada ya kocha wa Arsenal, Mikel Arteta kuwalaumu waamuzi katika mechi yake na Tottenham, safari hii ni zamu ya kocha wa Everton, ...
Na mwandishi wetuUshindi wa mabao 2-0 ambao Yanga imeupata usiku huu dhidi ya Dodoma Jiji umeifanya timu hiyo kuendelea kujiimarisha kileleni kat...
London, EnglandLiverpool imeibwaga Chelsea na kubeba Kombe la FA katika mechi ngumu iliyopigwa kwenye dimba la Wembley usiku huu huku timu hizo z...
Na mwandishi wetuSimba imeitoa Pamba ya Mwanza katika robo fainali ya Kombe la Shirikisho Azam kwa kuichapa mabao 4-0 na sasa inasubiri kuumana n...
Na mwandishi wetuLeo jioni Pamba inacheza na Simba katika mechi ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Azam, wakati ikiwa katika maandalizi ya me...