New York, MarekaniWanawake wawili wamemfikisha mahakamani bingwa wa zamani wa ngumi za uzito wa juu duniani, George Foreman wakimtuhumu kwa kuwab...
Na mwandishi wetuKikosi cha timu ya Simba kimetua salama leo Khartoum, Sudan tayari kwa mechi mbili za kirafiki huku benchi la ufundi likifafanua...
Na mwandishi wetuAliyekuwa kocha wa Polisi Tanzania msimu uliopita, Malale Hamsini amefunguka kushindwana na timu alizokuwa anazungumza nazo kwa ...
Na mwandishi wetuBaada ya Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji, Masoud Djuma kukiri na kuomba radhi kwa kufanya vibaya kwa timu hiyo kwenye mechi mbili za a...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Geita Gold, Fred Felix Minziro amesema kwamba anaamini wiki mbili za mapumziko ya Ligi Kuu ya NBC zinamtosha kurek...
Istanbul, UturukiMshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema na kocha wake Carlo Ancelotti wametwaa tuzo za mchezaji bora na kocha bora wa mwaka w...
Istanbul, UturukiMabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Real Madrid wataanza kulitetea taji hilo dhidi ya timu za Cetic, RB Leipzig na Shak...
London, EnglandBeki wa zamani wa Manchester United, Patrice Evra ametaka Cristiano Ronaldo, Harry Maguire na Luke Shaw waondoke katika klabu hiyo...
London, EnglandVigogo wa Ligi Kuu England, Man City na Chelsea zinatarajia kuumana katika mechi za raundi ya tatu ya fainali za Carabao Cup zitak...
New York, MarekaniWakati staa wa filamu, Sylvester Stallone au Rambo akifunga ndoa na mwanamitindo Jennifer Flavin mwaka 1997, Rambo alikuwa na m...