London, EnglandKocha wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema kwamba hatoondoka katika klabu hiyo labda ikitokea akalazimishwa kufanya hivyo ingawa ame...
Na mwandishi wetuYanga imewatuliza mashabiki wake kwa kuichapa Ihefu bao 1-0 huku Azam ikiipa Tanzania Prisons kipigo cha nguvu kwa kuichapa maba...
Saudi ArabiaKocha wa Barcelona, Xavi hatimaye amebeba taji lake la kwanza na timu hiyo baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya mahasimu wao Real M...
London, EnglandUshindi wa mabao 2-0 wa Arsenal dhidi ya Tottenham Hostpur umekuwa na maana kubwa kwa timu hiyo na haikushangaza kuona mashabiki w...
London, EnglandKocha wa Chelsea, Graham Potter amefarijika baada ya timu yake kuifunga Craystal Palace bao 1-0 katika mechi ya Ligi Kuu England (...
Manchester, EnglandBaada ya Man City kufungwa mabao 2-1 na Man United, kocha wa Man City, Pep Guardiola amekerwa na bao la Bruno Fernandez akidai...
Na mwandishi wetuKiungo mshambuliaji mpya wa Singida Big Stars, Ibrahim Ajibu ameahidi kupambana ili kutimiza ndoto za timu hiyo za kupambania ub...
Na mwandishi wetuWakati Simba ikielekea kukipiga na CSKA Moscow ya Urusi kesho, kocha wa timu hiyo, Robert Olivieira ameeleza kufurahishwa na kiw...
Na mwandishi wetuMshambuliaji wa Yanga, Yacouba Sogne leo Jumamosi amewaaga rasmi viongozi, wachezaji na mashabiki wa timu hiyo kwa namna alivyoi...
Manchester, EnglandMchezaji wa Manchester City, Benjamin Mendy amekutwa hana hatia katika makosa sita ya ubakaji na moja la udhalilishaji kijinsi...