Na mwandishi wetuTimu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imetoka sare ya bao 1-1 na timu ya Congo Brazaville katika mechi ya kuwania kufuzu fainal...
Miami, MarekaniMshambuliaji wa timu ya Inter Miami ya Marekani, Luis Suarez (pichani) ameomba radhi kwa kitendo chake cha kumtemea mate mmoja wa ...
Na mwandishi wetuMwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo' amejiuzulu nafasi ya uenyekiti wa bodi ya klabu hiyo na kumteua Crescentius Mag...
Manchester, EnglandKocha wa Man United, Ruben Amorim amesema mpango wake ni kuendelea kuwa kocha wa timu hiyo lakini hana uhakika kama ataendelea...
Leverkusen, UjerumaniAliyekuwa kocha wa Man United, Erik ten Hag amefutwa kazi na klabu ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani baada ya kuiongoza timu ...
Fenerbahce, UturukiKocha Jose Mourinho ametimuliwa katika klabu ya Fenerbahce ya Uturuki baada ya kuinoa katika kipindi kisichozidi mwaka mmoja.K...
Na mwandishi wetuMorocco imebeba taji la Ubingwa wa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024 baada ya kuilaza Madagascar mabao 3-2 katika mechi ...
Kampala, UgandaMatumaini ya timu ya taifa ya Uganda 'Uganda Cranes' kufuzu nuzu fainali ya michuano ya Ubingwa wa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (...
London, EnglandKocha wa Arsenal, Mikel Arteta ameingiwa hofu baada ya winga wake Bukayo Saka kuuumia katika mechi dhidi ya Leeds iliyopigwa Jumam...
Na mwandishi wetuTimu za Harambee Stars ya Kenya na Taifa Stars ya Tanzania, zimetolewa katika michuano ya Ubingwa wa Afrika kwa Wachezaji wa Nda...