Manchester, EnglandKlabu ya Manchester United imeeleza kuwa kiungo wake Mbrazil, Casemiro ataachana na klabu hiyo mara baada ya mkataba wake kufi...
Rabat, MoroccoBaada ya mpambano na dakika 120 za kukata na shoka, hatimaye timu ya taifa ya Sernegal imeibuka kinara wa Kombe la Mataifa ya Afrik...
Mdrid, HispaniaWinga wa Real Madrid, Vinícius Júnior ametumia mitandao ya kijamii kumdhihaki kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone kwa kumwambi...
Na mwandishi wetuTimu ya Yanga imefuzu hatua ya fainali ya Kombe la Mapinduzi kwa kuichapa Singida Black Stars bao 1-0 katika mechi iliyochezwa I...
London, EnglandMshambuliaji wa Arsenal, Bukayo Saka amekubali kuongeza mkataba na klabu hiyo huku ikidaiwa kwamba mkataba huo mrefu utamfanya awe...
Na mwandishi wetuKocha mpya wa Simba, Steve Barker ameonja machungu ya kufungwa mara ya kwanza baada ya timu yake kutolewa kwenye michuano ya Kom...
Rabat, MoroccoNahodha na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Misri, Mohamed Salah amepuuza habari inayoiweka timu yao katika orodha ya timu zinazope...
Manchester, EnglandKlabu ya Manchester United imemfuta kazi kocha Ruben Amorim baada ya kushikilia wadhifa huo kwa kipindi kisichozidi miezi 14.U...
Rabat, MoroccoUmewahi kusikia hadithi ya timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kufa kiume, achana na hadithi zote za nyuma, hadithi ya kweli im...
Na Hassan KinguTimu ya taifa ya Morocco imekamilika kila idara, historia yake inatisha, si Afrika tu bali duniani kote, tayari imeonesha ubora wa...