Na mwandishi wetuTimu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars chini ya kocha wake mpya, Miguel Gamondi imelala kwa mabao 4-3 mbele ya Kuiwat ikiwa mech...
Taifa Stars
Na mwandishi wetuKocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Miguel Gamondi amewaita katika kikosi chake Kelvin Nashon wa Singida Black Star...
Na mwandishi wetuJina la mshambuliaji Kelvin John limo katika orodha ya wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars watakaocheza mechi ya...
Na mwandishi wetuKocha wa Singida Black Stars ambaye pia amewahi kuwa kocha wa Yanga, Miguel Gamondi ameteuliwa kuwa kocha wa timu ya taifa ya Ta...
Na mwansishi wetuTimu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeshindwa kuutumia vyema uwanja wa nyumbani baada ya kuchapwa bao 1-0 na Zambia katika ...
Na mwandishi wetuKocha wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Hemed Suleiman 'Morocco' ametangaza kikosi cha wachezaji 26 wa timu ya taifa k...
Na mwandishi wetuTimu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imejikuta pabaya katika mbio za kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026, baada ya kufungwa ...
Na mwandishi wetuTimu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imetoka sare ya bao 1-1 na timu ya Congo Brazaville katika mechi ya kuwania kufuzu fainal...
Na mwandishi wetuKamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imeitupa rufaa iliyowasilishwa kwao na Guinea dhidi ya timu ya taifa ya Tanza...
Na mwandishi wetuWachezaji wa timu ya taifa ya soka ya Tanzania 'Taifa Stars' wanaingia kambini leo Jumatatu Juni 2, 2025 kwa ajili ya maandalizi...