Na mwandishi wetuSimba, Azam FC zimeanza vyema michuano ya klabu inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwa ushindi, Simba ikiilaza Gab...
Category: Soka
Na mwandishi wetuYanga ya Tanzania imeanza vyema mbio za Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuichapa Wiliete FC ya Angola mabao 3-0 mechi iliyochezwa le...
Paris, UfaransaNyota wa zamani wa Man United na timu ya taifa ya Ufaransa, Eric Cantona ameyataka mashirikisho ya soka duniani (Fifa) na Ulaya (U...
Na mwandishi wetuBao pekee la Pacome Zouzoua limeifanya Yanga kuendelea kuwanyanyasa mahasimu wao Simba kwa kutoka na ushindi wa 1-0 katika mechi...
Na mwandishi wetuSingida Black Stars ya Tanzania imeuanza kwa kishindo msimu wa 2025-26 kwa kubeba taji la michuano ya klabu Afrika Mashariki na ...
Tokyo, JapanMwanariadha wa Tanzania, Felix Simba amepongezwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kushinda medali ya dhahabu katika mashindano ya riad...
Na mwandishi wetuYanga imefanya tamasha la kila mwaka la Siku ya Mwananchi kwa kuichapa Bandari ya Kenya bao 1-0 kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es S...
Na mwandishi wetuSimba imeilaza Gor Mahia ya Kenya mabao 2-0 katika mechi maalum ya Tamasha ya Simba Day lililofanyika Jumatano hii, Septemba 10,...
Na mwandishi wetuTimu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imejikuta pabaya katika mbio za kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026, baada ya kufungwa ...
Na mwandishi wetuRais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia ametoa onyo kwa waamuzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara kuwa msimu huu hawatak...