Na mwandishi wetuYanga imeamua kuweka kando sherehe za ubingwa na kuwekeza katika kusaka ushindi wakitambua kuwa na kibarua kigumu cha nusu faina...
Soka
Na mwandishi wetuKaimu kocha mkuu Simba, Juma Mgunda amesema wanaihitaji nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu NBC kutokana na umuhimu wao wa kuwakilish...
Na mwandishi wetuMeneja habari na mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amewapongeza mahasimu wao Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu NBC msimu hu...
Na mwandishi wetuKocha mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema pamoja na furaha na anavyojivunia ubingwa wa Ligi Kuu NBC waliotwaa Jumatatu lakini ...
Na mwandishi wetuMechi ya Ligi Kuu NBC kati ya Simba na Dodoma Jiji iliyopangwa kuchezwa Alhamisi hii kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro imesogez...
Na mwandishi wetuKocha mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuberi Katwila amesema kuwa kwa sasa hawana la kufanya zaidi ya kuwaombea mabaya walio juu yao kweny...
Na mwandishi wetuYanga hatimaye imefanikiwa kulibeba taji la Ligi Kuu NBC msimu wa 2023-24 baada ya kuichapa Mtibwa Sugara mabao 3-1 katika mechi...
Na mwandishi wetuKaimu kocha mkuu wa Simba, Juma Mgunda amesema miongoni mwa mambo yaliyowaangusha kwenye sare ya bao 1-1 dhidi ya Kagera Sugar n...
Na mwandishi wetuAzam FC haifurahishwi na namna inavyotambulishwa kama timu inayopambania nafasi ya pili na kuondolewa kwenye mbio za ubingwa msi...
Na mwandishi wetuBaada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Azam jana Alhamisi, kaimu kocha mkuu wa Simba, Juma Mgunda amesema ushindi huo umeongeza ...