Na mwandishi wetuSimba imeendelea kuifukuzia Yanga katika Ligi Kuu NBC baada ya kuitandika Namungo FC mabao 3-0 katika mechi iliyochezwa leo Juma...
Soka
Na mwandishi wetuMabao ya Clement Mzize na Prince Dube yameiwezesha Yanga kutoka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Black Stars na kujiimar...
Na mwandishi wetuYanga imekamata usukani wa Ligi Kuu NBC kwa kishindo baada ya kuigaragaza KMC mabao 6-1 huku kiungo Stephane Aziz Ki akifunga ma...
Na mwandishi wetuSimba imerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu NBC baada ya kuinyuka Tanzania Prisons mabao 3-0 katika mechi iliyochezwa leo Ju...
Madrid, HispaniaAliyekuwa rais wa Shirikisho la Soka Hispania, Luis Rubiales ameiambia mahakama moja ya Hispania kuwa alimuomba kumpiga busu mche...
Na mwandishi wetuYanga, Simba hazichekani, ndicho kilichotokea baada ya Yanga kugawana pointi moja moja na JKT Tanzania katika mechi ya Ligi Kuu ...
Na mwandishi wetuRais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Walace Karia ametuma salamu za pole kwa timu ya Dodoma Jiji baada ya kikosi cha timu h...
Na mwandishi wetuCoastal Union itaikabili Yanga katika mechi za hatua ya 32 bora za Kombe la TFF msimu wa 2024-25, mashindano yanayoendeshwa kwa ...
Zurich, SwitzerlandShirikisho la Soka Kimataifa (Fifa) limetangaza kuyafungia kushiriki mashindano ya soka ya kimataifa mashirikisho ya soka ya n...
Na mwandishi wetuMatarajio ya Simba kuiengua Yanga kileleni kwa msimamo wa Ligi Kuu NBC yamekwama leo Alhamisi, Februari 6, 2025 baada ya timu hi...