Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema wachezaji wapya waliotua kwenye kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao wa 2022/23 wam...
Category: Soka
Na mwandishi wetuBeki wa kati wa Simba, Erasto Nyoni amesema licha ya kukosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza msimu uliopita na kulazimika kusugua...
Na mwandishi wetu Timu ya Polisi Tanzania imemtambulisha Joslin Sharif kuwa kocha mpya wa timu hiyo akichukua mikoba ya Malale Hamsini aliyemaliz...
Na mwandishi wetuSiku nne baada ya TFF kumfungia msemaji wa Yanga, Haji Manara kujihusisha na shughuli za soka kwa miaka miwili na kumtoza faini ...
Na mwandishi wetuKatibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Kidao Wilfred ameeleza kusikitishwa kwake na madai yaliyotolewa na msemaji wa ...
Madrid, HispaniaManchester United imekata tamaa ya kumzuia winga wake Cristiano Ronaldo kuondoka lakini wapi anakwenda bado ni kitendawili baada ...
Na mwandishi wetuTaifa Stars leo imeibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 katika mechi yake ya kwanza dhidi ya Somalia kuwania kufuzu fainali za ...
Na mwandishi wetuKikosi cha Azam kimeondoka nchini leo kuelekea El Gouna, Misri kwa ajili ya kuweka kambi ya siku 20 ya maandalizi ya msimu mpya ...
Na mwandishi wetuMabingwa wapya wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga SC wameeleza kuwa wanatarajia kuanza maandalizi ya msimu ujao rasmi Jumapili hii wakiwa...
Na mwandishi wetuKlabu ya soka ya Simba imeendelea kukiboresha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao baada ya leo kutambulisha usajili wa beki wao...