Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa KMC, Thiery Hitimana amesema matumaini ya timu hiyo kushiriki Ligi Kuu NBC msimu ujao ni madogo kutokana na kipigo...
Category: Soka
Na mwandishi wetuKiungo Stephan Aziz Ki amedhihirisha thamani yake katika kikosi cha Yanga baada ya kufunga mabao matatu (hat trick) wakati timu ...
Na mwandishi wetuKocha Msaidizi wa Simba, Juma Mgunda amewapongeza wachezaji wake akisema walistahili ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ihefu jana Ju...
Na mwandishi wetuWaziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Pindi Chana ameipongeza timu ya wasichana ya Fountain Gate kwa kutwaa ubingwa wa Afrik...
Na mwandishi wetuRipoti ya matibabu ya wachezaji wa Simba, kipa Aishi Manula (pichani) na beki Henock Inonga imeondoa hofu kuhusu kuumia kwa wach...
Na mwandishi wetuSimba imeitambia Ihefu FC baada ya kuichapa mabao 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu NBC iliyopigwa kwenye Uwanja wa Highland Estate, ...
Na mwandishi wetuMshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele amesema ushirikiano wake na Kennedy Musonda unazidi kuimarika akieleza uwepo wa mchezaji hu...
Na mwandishi wetuYanga imefuzu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Azam (FA) baada ya kuichapa Geita Gold bao 1-0 katika mechi iliyopigwa kwenye ...
Na mwandishi wetuSimba imetua nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Azam (ASFC) baada ya kuitia adabu Ihefu FC kwa kuichapa mabao 5-1 huku straika ...
Na Hassan KinguMichuano ya klabu Afrika ipo kwenye hatua ya robo fainali na timu za Tanzania zimefanikiwa kusonga kwenye hatua hiyo kati ya timu ...