Na mwandishiYanga imepanda hadi nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu NBC baada ya kuichapa Coastal Union ya Tanga bao 1-0 mechi iliyochezwa leo Jumamos...
Category: Soka
Na mwandishi wetuSimba imetoa kichapo cha mabao 3-0 kwa Namungo katika mechi ya Ligi Kuu NBC iliyopigwa kwenye Uwanja wa KMC Kinondoni jijini Dar...
Na mwandishi wetuVigogo vya soka Tanzania, timu za Simba na Yanga zimefanya vizuri katika mechi zake za Ligi Kuu NBC Jumanne hii, Simba ikiichapa...
Na mwandishi wetuYanga imetoka kifua mbele dhidi ya mahasimu wao Simba baada ya kuwatandika bao 1-0 katika mechi ya Ligi Kuu NBC iliyopigwa leo J...
Na mwandishi wetuTimu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imejiweka pagumu katika harakati za kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika ...
Na mwandishi wetuTimu ya wanawake ya JKT Queens leo Jumamosi imeibuka kinara wa michuano ya Ngao ya Jamii kwa kuilaza Yanga Princess bao 1-0 kati...
Na mwandishi wetuSimba imeanza kuonja ugumu wa Ligi Kuu NBC msimu huu wa 2024-25 baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 na Coastal Union katika ...
Na mwandishi wetuYanga imeendeleza ubabe katika Ligi Kuu NBC baada ya kuichapa Pamba Jiji mabao 4-0 katika mechi iliyopigwa Alhamisi hii jioni kw...
Na mwandishi wetuTimu ya soka ya wanawake ya Yanga Princess imeibuka kidedea katika mechi ya nusu fainali ya Ngao ya Jamii kwa kuwalaza mahasimu ...
Na mwandishi wetuYanga na Simba zimetoka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 kila moja katika mechi zao za Jumapili hii za Ligi Kuu NBC wakati Azam F...