Na mwandishi wetuSiku moja baada ya kupangwa ratiba ya mechi za Kombe la Shirikisho Afrika, Kocha Mkuu wa Singida Fountain Gate, Hans Pluijm ames...
Category: Soka
Na mwandishi wetuKlabu ya Simba imetangaza kuwa itavaana mabingwa wa Zambia, Power Dynamos ya Zambia katika hitimisho la Wiki ya Simba, Simba Day...
Na mwandishi wetuTimu ya Pamba FC, ambayo iko chini ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza imemtangaza Mbwana Makata (pichani kulia) kuwa kocha wao mku...
Na mwandishi wetuKocha mpya wa Tanzania Prisons, Fred Minziro ameomba ushirikiano kutoka kwa viongozi, wachezaji na mashabiki wa timu hiyo ili ku...
Na mwandishi wetuBaada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Zira FK ya Azerbaijan, kocha wa Simba SC, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesifu kiwango cha ti...
Na mwandishi wetuMshindi wa tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika mwaka 2022, Sadio Mane amempongeza aliyekuwa winga wa Simba, Pape Sakho kwa kujiunga ...
Na Hassan KinguMichezo ya Ngao ya Jamii inayoashiria kufunguliwa pazia la msimu mpya wa soka wa 2023-24 inayotarajia kupigwa Agosti, mwaka huu in...
Na mwandishi wetuSimba imeendelea kuimarisha kikosi chake cha msimu ujao baada ya leo Jumamosi kumtambulisha winga Luis Miquissone ambaye amereje...
Na mwandishi wetuKipa namba moja wa Simba, Aishi Manula ambaye atakuwa nje ya uwanja kwa miezi minne ameanza kujifua kwa mazoezi mepesi akiwa gym...
Na mwandishi wetuAliyekuwa winga wa Yanga, Bernard Morrison amesema yeye ni shabiki namba moja wa winga mpya wa Yanga, Mahlatse Makudubela ‘Skudu...