Madrid, HispaniaKlabu ya Real Madrid inadaiwa imetoa ruhusa kwa mshambuliaji wake Vinicius Junior kuondoka katika timu hiyo baada ya tafrani iliy...
Category: Kimataifa
Lubumbashi, DR CongoKlabu ya soka ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imethibitisha mmoja wa mashabiki wake kuuawa Jumapili i...
Na mwandishi wetuKocha wa Singida Black Stars ambaye pia amewahi kuwa kocha wa Yanga, Miguel Gamondi ameteuliwa kuwa kocha wa timu ya taifa ya Ta...
Manchester, EnglandMshambuliaji nyota wa Man City, Erling Haaland amepuuza kitendo cha kulinganishwa na mastaa Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ...
Na mwandishi wetuYanga imepangwa Kundi B katika Ligi ya Mabingwa Afrika, kundi linalotajwa kuwa gumu na hivyo kuibua hofu juu ya nafasi ya timu h...
Liverpool, EnglandNahodha wa Liverpool, Virgil van Dijk amesema shutuma zilizotolewa na mshambuliaji wa zamani wa England, Wayne Rooney akilaumu ...
Na Hassan KinguKlabu ya Simba inaonekana imedhamiria kuikataa kwa nguvu zote biashara ya jezi feki, ni kama vile klabu hiyo imeamua kuanzisha vit...
Munich, UjerumaniKlabu ya Bayern Munich imesema beki wa zamani wa timu hiyo na timu ya taifa ya Ujerumani, Jerome Boateng (pichani juu) hatokuwa ...
Liverpool, EnglandMshambuliaji wa zamani wa Man United na timu ya taifa ya England, Wayne Rooney amehusisha uongozi na matokeo mabaya yanayoikuta...
Madrid, HispaniaReal Madrid imetoka kifua mbele dhidi ya mahasimu wao Barcelona kwa kuwachapa mabao 2-1, leo Jumapili Oktoba 26, 2025, mechi amba...