London, EnglandJoao Mendes (pichani) ambaye ni mtoto wa mwanasoka wa zamani wa Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, Ronaldinho au Gaucho, amesai...
Latest posts
Manchester, EnglandKlabu ya Man United imethibitisha kuwa kipa wao, Andre Onana (pichani) amejiunga na klabu ya Trabzonspor ya nchini Uturuki kwa...
Na mwandishi wetuSimba imeilaza Gor Mahia ya Kenya mabao 2-0 katika mechi maalum ya Tamasha ya Simba Day lililofanyika Jumatano hii, Septemba 10,...
El Alto, BoliviaBaada ya kufungwa bao 1-0 na Bolivia jana Jumanne Septemba 9, 2025, Rais wa Shirikisho la Soka Brazil, Samir Xaud, amelalamikia m...
Na mwandishi wetuTimu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imejikuta pabaya katika mbio za kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026, baada ya kufungwa ...
Miami, MarekaniMshambuliaji wa klabu ya Inter Miami ya Marekani, Luis Suarez amefungiwa mechi sita kwa kosa la kumtemea mate mmoja wa viongozi ka...
Na mwandishi wetuRais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia ametoa onyo kwa waamuzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara kuwa msimu huu hawatak...
Buenos Aires, ArgentinaLionel Messi amewaaga kiaina mashabiki Argentina akifunga mabao mawili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Venezuela, mechi ya ...
Na mwandishi wetuTimu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imetoka sare ya bao 1-1 na timu ya Congo Brazaville katika mechi ya kuwania kufuzu fainal...
Miami, MarekaniMshambuliaji wa timu ya Inter Miami ya Marekani, Luis Suarez (pichani) ameomba radhi kwa kitendo chake cha kumtemea mate mmoja wa ...