Na mwandishi wetuShirikisho la Soka Afrika (Caf) limetangaza hatua ya mwisho ya mechi za mtoano kwa ajili ya kuingia hatua ya makundi ya Kombe la...
Madrid, HispaniaKipa wa Real Madrid, Thibaut Courtois amesema kwamba anadhani haiwezekani kwa kipa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka ya Bal...
Manchester, EnglandStraika wa Manchester United, Mason Greenwood ametupwa rumande hadi Novemba 21 baada ya kufika mahakamani Jumatatu akikabiliwa...
Paris, UfaransaMshambuliaji wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Ufaransa, Karim Benzema ametwaa tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka ya Ballon d'Or wak...
Madrid, HispaniaRais wa klabu ya Barcelona, Joan Laporta alilazimika kuombwa aondoke kwenye vyumba vya kubadilishia nguo baada ya kutaka waamuzi ...
Paris, UfaransaMshambuliaji wa Paris Saint German (PSG) Kylian Mbappe amekanusha habari kwamba anataka kuondoka katika klabu hiyo ifikapo Januari...
Na Jonathan HauleKatika Filamu ya Huba, Happy, kama lilivyo jina lake ameanza kufurahia huba la JB baada ya kujawa hofu siku za mwanzo, hapo hapo...
Na mwandishi wetuTimu ya Yanga imeaga rasmi michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika leo Jumapili baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 ikiwa ugenini n...
Na mwandishi wetuSimba imefuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuichapa Primiero de Agosto ya Angola kwa bao 1-0 katika mech...
New York, MarekaniBingwa wa zamani wa ngumi za uzito wa juu duniani, Deontay Wilder amerejea ulingoni kwa kishindo usiku wa kuamkia leo baada ya ...