Na mwandishi wetuYanga, Simba hazichekani, ndicho kilichotokea baada ya Yanga kugawana pointi moja moja na JKT Tanzania katika mechi ya Ligi Kuu ...
Category: Soka
Na mwandishi wetuRais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Walace Karia ametuma salamu za pole kwa timu ya Dodoma Jiji baada ya kikosi cha timu h...
Na mwandishi wetuCoastal Union itaikabili Yanga katika mechi za hatua ya 32 bora za Kombe la TFF msimu wa 2024-25, mashindano yanayoendeshwa kwa ...
Zurich, SwitzerlandShirikisho la Soka Kimataifa (Fifa) limetangaza kuyafungia kushiriki mashindano ya soka ya kimataifa mashirikisho ya soka ya n...
Na mwandishi wetuMatarajio ya Simba kuiengua Yanga kileleni kwa msimamo wa Ligi Kuu NBC yamekwama leo Alhamisi, Februari 6, 2025 baada ya timu hi...
Na mwandishi wetuYanga imerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu NBC kwa kishindo baada ya kuikandika Ken Gold FC mabao 6-1 katika mechi iliyoche...
Na mwandishi wetuWachezaji 30 wa timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Tanzania maarufu 'Twiga Stars' wameitwa chini ya kocha Bakari Shime (pichan...
Na mwandishi wetuSimba imeiengua Yanga kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu NBC baada ya kuichapa Tabora United mabao 3-0 katika mechi ya ligi hiyo i...
Manchester, EnglandMshambuliaji wa Man United, Marcus Rashford anatarajia kufanyiwa vipimo vya afya kwa lengo la kujiunga na klabu ya Aston Villa...
Na mwandishi wetuBaada ya kuwa katika mapumziko ya miezi miwili, mabingwa watetezi Yanga wamerejea kwenye Ligi Kuu NBC kwa kishindo baada ya kuia...