Na mwandishi wetuBodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeweka wazi kuwachukulia hatua wote ambao hawatahudhuria hafla ya utolewaji wa tuzo za Shiriki...
Category: Soka
Na mwandishi wetuKiungo mshambuliaji wa Simba, Saido Ntibazonkiza amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei wa Ligi Kuu NBC wakati kocha wake ...
Na mwandishi wetuMshambuliaji wa FC Lupopo ya DR Congo, George Mpole amesema kwa sasa anajifua vilivyo akifanya mazoezi mara mbili kwa siku kwa a...
Na mwandishi wetuKlabu ya Yanga imeisifu Azam FC kwa uungwana iliouonesha kwenye suala la usajili wa kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwa kufuata t...
Saido Ntibazonkiza Na mwandishi wetuMabao saba aliyofunga Saido Ntibazonkiza wa Simba katika mechi mbili za mwisho za Ligi Kuu NBC msimu huu yame...
Na Hassan KinguHuo ndio ukweli, mechi za mwisho za Ligi Kuu NBC zinanogeshwa na vita ya Fiston Mayele na Saido Ntibazonkiza kwenye tuzo ya mfunga...
Na mwandishi wetuKiungo mpya wa Azam FC, Feisal Salum, ‘Fei Toto’ amemshukuru Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kulimaliza suala lake na ...
Na mwandishi wetuKlabu ya Singida Big Stars imeeleza kuwa hivi karibuni itaitangaza timu yake ya soka ya wanawake ili kukamilisha vigezo vya kanu...
Na mwandishi wetuKoha Msaidizi wa Simba, Juma Mgunda amesema wachezaji wake wanastaili pongezi kwa ushindi wa mabao 6-1 walioupata dhidi ya Polis...
Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Singida Big Stars, Hans Pluijm amesema ushindani wao na Azam wa kuwania kumaliza nafasi ya tatu umewafanya wasitis...