Abidjan, Ivory CoastKipa namba moja wa Ivory Coast, Sylvain Gbohouo amefungiwa na Fifa kwa miezi 18 kutojihusisha na masuala yote ya soka duniani...
Category: Kimataifa
Roma, ItaliaKocha wa Roma, Jose Mourinho amemsajili katika timu hiyo aliyekuwa kiungo wa Man United, Nemanja Matic ikiwa ni mara yake ya tatu kum...
Vincent Kompany London, EnglandNahodha na beki wa kati mahiri aliyejijengea umaarufu akiwa Man City, Vincent Kompany ameteuliwa kuwa kocha mkuu w...
London, EnglandDhamira ya kuifanya Tottenham Hotspur timu shindani katika Ligi Kuu England na Ulaya inaendelea na leo imemsaini kiungo, Yves Biss...
Super Eagles Nigeria yaichapa Sao Tome 10-0 Timu ya Taifa ya Nigeria au Super Eagles imeweka rekodi katika mbio za kuwania kufuzu Afcon 2023 baad...
Harry Kane London, EnglandMshambuliaji wa Tottenham na timu ya Taifa ya England, Harry Kane amesema ujio wa Erling Haaland na Darwin Nunez katika...
Darwin Nunez London, EnglandStraika Darwin Nunez sasa mali ya Liverpool baada ya klabu hiyo kukubaliana na Benfica kumsajili mchezaji huyo kwa ad...
Erling Haaland London, EnglandJuhudi za Man City kuisaka saini ya Erling Haaland hatimaye zimezaa matunda baada ya mchezaji huyo kusaini kuicheze...
Paris, Ufaransa Kocha Mauricio Pochettino hatimaye anatarajia kuondoka katika klabu ya PSG huku kukiwa na utata kuhusu kocha na mchezaji wa zaman...
Na Jonathan HauleMjadala kuhusu beki mfupi ulikuzwa bila sababu, kuna faida ya kuwa na beki mrefu lakini haina maana mfupi hafai. Tuachane na mja...