Rabat, MoroccoReal Madrid jana Jumamosi ilibeba taji la klabu la dunia la mwaka 2022 baada ya kuinyuka Al-Hilal ya Saudi Arabia mabao 5-3 na kuwe...
Category: Kimataifa
Na mwandishi wetuWawakilishi wa Taanzania, Simba wameanza vibaya mechi za hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kulala kwa bao 1-0...
Barcelona, HispaniaRais wa klabu ya Barcelona, Joan Laporta amethibitisha kuwa mtoto wa nyota wa zamani wa timu hiyo, Ronaldinho au Gaucho aitway...
Saudi ArabiaCristiano Ronaldo jana Alhamisi aliifungia Al Nassr mabao manne katika mechi ya ligi dhidi ya Al Wehda, hapo hapo akaweka rekodi ya k...
London, EnglandKocha wa Tottenham Hotspur, Antonio Conte jana Alhamisi alirudi kazini na kuendelea na majukumu yake baada ya kufanyiwa upasuaji w...
Madrid, HispaniaMshambuliaji wa Real Madrid, Vinicius Junior amesema kwamba njia pekee ya kupambana na dhihaka za ubaguzi wa rangi kwenye viwanja...
London, EnglandKipa na nahodha wa Tottenham Hotspur, Hugo Lloris atakuwa nje ya uwanja kwa takriban wiki sita hadi nane kutokana na maumivu ya go...
Istanbul, UturukiKipa wa timu ya soka ya Malatyaspor ya Uturuki, Ahmet Eyup Turkaslan (pichani) amefariki dunia kutokana na tetemeko la ardhi lil...
Madrid, HispaniaMabosi Ligi Kuu Hispania au La Liga wanaazisha uchunguzi kwa mashabiki ambao wameendelea kumzomea na kumdhihaki kwa maneno ya uba...
London, EnglandKlabu ya soka ya Manchester City imeingia matatani baada ya uchunguzi kubaini kuwa imekuwa ikienda kinyume na kanuni za matumizi y...