Na mwandishi wetuTimu ya Singida Big Stars imeeleza kwamba inatarajia kurejea kuanza kambi ya maandalizi kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara...
Latest posts
Na mwandishi wetuKlabu ya Azam imetoa sababu za kwa nini hivi karibuni mmiliki wa timu hiyo, Yusuf Bakhresa amekuwa akijumuika kumaliza dili zao ...
Na mwandishi wetuKamati ya Maadili ya TFF imeeleza kuwa itaendelea na mchakato juu ya usikilizwaji shauri baina ya sekretarieti yake dhidi ya Ofi...
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na wachezaji wa Serengeti Girls na viongozi wao Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Na mwandishi wetu Rais wa Jamhuri ...
Mauricio Pochettino Paris, Ufaransa Paris, UfaransaSasa ni rasmi kocha Mauricio Pochettino ameondoka katika klabu ya Paris St-Germain (PSG) ya Uf...
Na mwandishi wetuMgombea pekee wa nafasi ya urais wa klabu Yanga, Injinia Hersi Said leo ameweka wazi nia iliyomfanya agombee nafasi hiyo pamoja ...
Abdul Sopu (katikati) akiwa na vigogo wa Azam mara baada ya kusajiliwa na timu hiyo. Na mwandishi wetuCoastal Union imejipanga kikamilifu kuziba ...
Na mwandishi wetu Mtibwa Sugar kesho inatarajia kuikabili Tanzania Prisons kwenye mchezo wa pili wa mtoano kusaka tiketi ya kuendelea kushiriki L...
London, EnglandCristiano Ronaldo anaonekana kudhamiria kuondoka Man United, dhamira ambayo huenda ikatimia wakati huu akitakiwa na klabu za Barce...
Milan, ItaliaWamiliki wa klabu ya Manchester City wameendelea kujiimarisha katika klabu za soka duniani baada ya kununua hisa nyingi katika klabu...