Milan, ItaliaKocha wa England, Gareth Southgate amesema kwamba ana nia ya kumpigania beki Harry Maguire lakini nafasi yake England itakuwa kwenye...
Paris, UfaransaStraika Olivier Giroud ameweka rekodi ya kuifungia bao timu ya Taifa ya Ufaransa au Les Bleus akiwa na umri mkubwa wakati timu hiy...
Na mwandishi wetuWakati Azam FC ikitua leo jijini Ndola, Zambia, timu ya Simba SC kesho inatarajiwa kutua Zanzibar ikiwa ni kwa ajili ya maandali...
Madrid, HispaniaKiungo wa zamani wa Man City na timu ya Taifa ya Hispania, David Silva amekutwa na hatia ya kumpiga mwanamke na mahakama imemtoza...
London, EnglandSiku chache baada ya klabu ya Barcelona kutangaza faida ya Pauni 86 milioni, mambo si mazuri kwa Man United ambayo imetangaza kupa...
Na mwandishi wetuWaziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amemuagiza Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo, Ally Mayayi kuifa...
Na mwandishi wetuBaada ya jana kuambulia sare ya 1-1 dhidi ya Geita Gold, kocha wa Singida Big Stars, Hans van Der Pluijm amebainisha kilichowaan...
Na mwandishi wetuMshambuliaji nyota wa Yanga, Fiston Mayele ameeleza kuwa hawana presha kuelekea mechi yao dhidi ya Al Hilal ya Sudan kwa kuwa ki...
Milan, ItaliaBeki wa zamani wa timu ya Taifa ya Italia na klabu ya Real Madrid, Fabio Cannavaro amepata kibarua cha ukocha katika klabu ya Beneve...
New York, MarekaniBondia, Floyd Mayweather amesema kwamba anataka kupigana na Conor McGregor mwakani katika pambano lisilo la ubingwa.Mabondia ha...