Anderlecht, UbelgijiKocha wa timu ya Taifa ya Ubelgiji, Roberto Martinez amesema kwamba mshambuliaji Romelu Lukaku ni lazima awe fiti kiasi cha k...
Na mwandishi wetuKaimu Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda ameeleza namna gani mambo yake yamevurugika baada ya taarifa ya Kamati ya Uendeshaji na U...
Na mwandishi wetuStephane Aziz Ki leo Jumatano ameendelea kudhihirisha thamani yake ndani ya kikosi cha Yanga baada ya kufunga bao pekee muhimu d...
Na mwandishi wetuSimba na Singida Big Star jioni ya leo Jumatano zimetoka sare ya bao 1-1 katika mechi ya Ligi Kuu NBC iliyopigwa kwenye Uwanja w...
Munich, UjerumaniMshambuliaji nyota wa Senegal, Sadio Mane huenda akashindwa kwenda Qatar kuiwakilisha Senegal kwenye fainali za Kombe la Dunia b...
Zurich, SwitzerlandRais wa zamani wa Fifa, Sepp Blatter amesema kwamba uamuzi wa kuipa Qatar uenyeji wa fainali za Kombe la Dunia ilikuwa kosa.Mw...
Buenos Aires, ArgentinaMashabiki waliojihusisha na matukio haramu ya uhalifu ni kati ya raia 6,000 wa Argentina ambao hawataruhusiwa kuingia kwen...
Rio de Janeiro, BrazilMshambuliaji wa Arsenal, Gabriel Martinelli yumo kwenye kikosi cha Brazil kitakachokwenda Qatar kwenye fainali za Kombe la ...
London, EnglandNi patashika Ulaya. Miamba ya soka, Liverpool na Real Madrid wamepangwa kukutana katika hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ...
London, EnglandKocha wa Tottenham Hotspur, Antonio Conte amesema anaamini mchezaji, Son Heung-Min atakwenda Qatar kuiwakilisha Korea Kusini kweny...