Na mwandishi wetuTimu ya Yanga imefuzu hatua ya fainali ya Kombe la Mapinduzi kwa kuichapa Singida Black Stars bao 1-0 katika mechi iliyochezwa I...
Category: Soka
Na mwandishi wetuKocha mpya wa Simba, Steve Barker ameonja machungu ya kufungwa mara ya kwanza baada ya timu yake kutolewa kwenye michuano ya Kom...
Rabat, MoroccoUmewahi kusikia hadithi ya timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kufa kiume, achana na hadithi zote za nyuma, hadithi ya kweli im...
Na Hassan KinguTimu ya taifa ya Morocco imekamilika kila idara, historia yake inatisha, si Afrika tu bali duniani kote, tayari imeonesha ubora wa...
Na mwandishi wetuShirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangza kufunguliwa kwa pazia la usajili wa wachezaji kuanzia Januari Mosi 2026, zoezi amba...
Rabat, MoroccoKocha wa timu ya taifa ya Nigeria, Eric Chelle amewajia juu wachambuzi waliokuwa wakimkosoa baada ya timu yake kupata ushindi wa ma...
Rabat, MoroccoTimu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kwa mara ya kwanza imeingia hatua ya mtoano ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon)...
Na mwandishi wetuTimu ya wanawake ya Simba Queens imetoka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya mahasimu wao Yanga Princess katika mechi ya Ligi Kuu y...
Rabat, MoroccoTimu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imetoka sare ya bao 1-1 na Uganda Cranes katika mechi ya Kundi C ya fainali za Kombe la Mata...
Rabat, Morocco.Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanza vibaya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2025) nchini Morocco kwa kuche...