Na mwandishi wetuMshambuliaji wa Geita Gold, George Mpole leo Jumatano ameachana rasmi na klabu hiyo baada ya makubaliano ya pande zote mbili wal...
Category: Soka
Na mwandishi wetuKocha wa Azam FC, Kali Ongala ameeleza kufurahishwa na uwezo unaooneshwa na vijana wake baada ya jana Jumatatu kufanikiwa kuibuk...
Na mwandishi wetuUongozi wa timu ya Ruvu Shooting leo Jumanne, umemtangaza Mbwana Makata kuwa kocha mpya wa timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja ...
Na Hassan KinguTuwe tu wakweli Unbeaten 49 inapendeza. Hongera Yanga ila Unbeaten 50 ingependeza zaidi. Hongera Ihefu, huo ndio ukweli wa mambo.U...
Na mwandishi wetuBaada ya kuifumua Ihefu mabao 2-0, kocha wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kilichowapa ushindi ni kusoma udhaifu wa wapinzan...
Na mwandishi wetuFeisal Salum 'Fei Toto' leo Jumapili ameibuka shujaa kwa kufunga bao pekee katika mechi ya Ligi Kuu NBC kati ya Yanga na Prisons...
Na mwandishi wetuKuelekea mchezo wao wa kesho Jumapili dhidi ya Tanzania Prisons, wachezaji Yanga wamedai kujiandaa vizuri na hawajakata tamaa li...
Na mwandishi wetu, TangaSimba, leo Jumamosi imenyakua pointi tatu zilizoiwezesha kushika usukani wa Ligi Kuu NBC kwa kufikisha pointi 34 baada ya...
Na mwandishi wetuKocha wa KMC, Thierry Hitimana amesema miongoni mwa nafasi atakazozifanyia marekebisho kuelekea mzunguko wa pili Ligi Kuu NBC ni...
Na mwandishi wetuMechi ya Yanga na Ihefu iliyoisha kwa Ihefu kushinda kwa mabao 2-1 na kuitibulia Yanga iliyokuwa ikisaka rekodi ya kutopoteza me...