Na mwandishi wetuKocha Mkuu wa Singida Bisg Stars, Hans Pluijm amewashukuru wachezaji wake kwa kiwango walichoonesha msimu mzima hadi yeye kuingi...
Category: Soka
Na Hassan KinguYanga kesho Jumamosi itashuka dimbani kwenye fainali ya mkondo wa pili ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger. Fainali y...
Na mwandishi wetuKiungo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema manyanyaso ni kikwazo kikuu cha yeye kuondoka kwenye klabu hiyo lakini akasema ...
Na mwandishi wetuRais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Gianni Infantino (pichani) ameipongeza klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi...
Na mwandishi wetuHafla ya utoaji wa Tuzo za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) msimu wa 2022/2023 zinatarajia kufanyika Juni 12, mwaka huu kwenye ...
Na mwandishi wetuSimba imeeleza kuwa suala la usajili wa kipa mpya wa timu hiyo kuelekea msimu ujao litategemea na ripoti ya madaktari itakayoone...
Na mwandishi wetuWakati kikosi cha Yanga kikitarajia kuondoka kesho Alhamisi kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa fainali ya Komb...
Na mwandishi wetuUongozi wa Simba leo Jumatano umemtangaza Selemani Matola kuwa kocha mkuu wa timu za vijana za klabu hiyo na Patrick Rweyemamu k...
Na mwandishi wetuTimu ya Azam imeeleza itautumia mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union, kujipanga kikamilifu kuivaa Yanga kuelekea fainali ya Kom...
Na mwandishi wetuKocha Msaidizi wa Simba, Juma Mgunda amemsamehe ofisa habari wa Yanga, Ally Kamwe huku akidai kwamba anaamini Yanga ina uwezo wa...