Na mwandishi wetuKamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imeitupa rufaa iliyowasilishwa kwao na Guinea dhidi ya timu ya taifa ya Tanza...
Author: Green Sports
California, MarekaniBayern Munich imeanza kwa kishindo michuano ya Fifa ya Klabu ya Dunia kwa kuweka rekodi ya ushindi wa mabao 10-0 dhidi ya Auc...
Na mwandishi wetuKaria anafaa, Karia hafai, ni mjadala uliotawala ukimhusu Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia lakini hatima...
Florida, MarekaniKiungo mpya wa Man City, Tijjani Reijnders (pichani) amesema hajajiunga na timu hiyo kwa lengo la kuziba pengo la Kevin De Bruyn...
Na mwandishi wetuOfisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Almas Kasongo (pichani) amesimamishwa kazi wakati mwenyekiti wa bodi hi...
Paris, UfaransaKiungo wa zamani wa Man United, Paul Pogba inadaiwa yuko mbioni kujiunga na klabu ya Monaco ya Ufaransa ikiwa takriban miaka miwil...
Na mwandishi wetuHatimaye Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuusogeza mbele mchezo wa mahasimu wa soka nchini Yanga na Simba ambao sasa...
Liverpool, EnglandMabingwa wa Ligi Kuu England (EPL) Liverpool, wamekubali kumsajili kiungo mshambuliaji Florian Wirtz (pichani juu) kutoka Bayer...
Na Hassan KinguNimeikumbuka kauli ya kocha na beki wa zamani wa Mtibwa Sugar na timu ya taifa ya Tanzania au Taifa Stars, Mecky Maxime aliposema ...
Manchester, EnglandKocha wa Man City, Pep Guardiola hajampa nafasi kiungo wake wa bei mbaya, Jack Grealish katika wachezaji watakaoshiriki fainal...